Nilipata ajali

Tumejitolea kulinda usalama wa kila mtu anayetumia App ya Uber. Ikiwa umepata ajali, tafadhali hakikisha kwamba wewe pamoja na wote waliohusika mko salama. Wajulishe polisi pamoja na wahudumu wa afya mara moja panapohitajika.

Tafadhali tujulishe kilichotokea kwa kutupa maelezo ambayo yatatuwezesha kukusaidia. Tutawasiliana nawe.